Pendo akipambwa saluni tayari kwa kufunga ndoa takatifu
![]() |
Mpambe nae hakuza nyuma Maridadi kweli |
Maids wakiingia kanisani
Wapambe wakiingia kanisani
Bibi harusi akiingia kanisani
Bwanaharusi akiingia kanisani
Maharusi wakiingia kanisani tayari kwa kuunganishwa ili wawe mwili mmoja
Michael akimfunua shela Pendo kuhakikisha kama ni yeye kweli
Michael akisaini cheti cha ndoa yao
Pendo akisaini katika cheti cha ndoa
Maharusi wakitoka kanisani
Maids wakiingia ukumbini kwa shangwe
Maharusi wakiingia ukumbini
Shampeni zikifunguliwa ukumbini
Maharusi wakinyweshana shampeni
No comments:
Post a Comment