KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Wednesday, April 9, 2014

NAMNA YA KUPAMBA UKUMBI WA SHEREHE

                           UPAMBAJI WA VITI VYA MBELE (STAGE)

Steji ni sehemu ambapo maharusi wataketi na wapambe wao sehemu hii iko mbele kabisa ya ukumbi ambapo pia ni sehemu inayoonekana kwa watu wote walioko katika ukumbi huo kwa ajili ya sherehe ya siku iyo meza na viti vyake vipangwe katika mpangilio mzuri na wa kuvutia

Steji inatakiwa ipambwe na kupendeza kwani ni sehemu itakayotazamwa na wote aidha kuna namna mbalimbali za kupamba ukumbi kwa ajili ya sherehe hiyo maalum ,steji ipambwe kulingana na rangi za sherehe ili zisijeonekana haziendani na sherehe

mhimu uchague rangi nzuri na za kupendeza ili kuleta mvuto kwa waaalikwa wa siku hiyo  ongea na wataalamu wa upambaji kwani watakupa maelezo ya namna ya kuchagua rangi na mpangilio.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za muonekano wa stage ya harusi

 Pamependeza kweli





 mila na desturi pamoja na tamadini zikizingatiwa za afrika



 pamependeza kwelikweli

 

 mhhhhhhhh nouma saaana





 waacha weeeee Afrika hiyo mambo c mabaya

 Tazama kikwetukwetu yaani kiafrika zaidi inavyopendeza


































9 comments: