KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Monday, October 27, 2014

SHEREHE YA HARUSI YA JULIAN NA ANETH ILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA BRIGEDI MESS


MATUKIO KATIKA PICHA HARUSI YA JULIAN NA ANETH
Picha za bi Aneth akiwa salon












 Kaka usiwe na wasiwasi kira kitu kitakuwa sawa

Nakushikia vazi lisichafuke mapema dada


 Mmmmhh





Mungu ni mwema siku zote

 Ndo tunaenda kufunga ndoa





Nitakulinda na kukuheshimu siku zote za maisha yangu
vaa hii pete kwa ishara hiyo.




             Aneth akisaini cheti cha ndoa

       
      Picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa takatifu





                            

                            
            
               Tutapendana na kulindana siku zote za maisha yetu

         Maids katika pozi maridadi


          Maids katika pozi zuri la picha










































   
               Menu





Mwenyezi Mungu awaongoze katika ndoa yenu muishi kwa amani na upendo

No comments:

Post a Comment