HARUSI YA BW.AHMAD NA BI.HABIBA
BAADHI YA PICHA WAKATI BI.HABIBA AKIWA SALON
GRAM BOX MASAKI
Pozi tofautitofauti za Bi. Habiba
Hapa ndipo walipokuwa wameandariwa sehemu ya kukaa
maharusi wetu
Bi. Habiba akiwasili
Bw. Ahmad akiwasili ukumbini

Bi Habiba akiweka sahihi kwenye
cheti cha ndoa
Baada ya yote sasa Bw. Ahmad lasmi akichukua mke wake
ni full shangwe.
Maharusi wakiondoka ukumbini
Mwenyezi MUNGU awajaharie maisha mema na yenye fanaka
tele katika ndoa yenu Amen.....
No comments:
Post a Comment