Unapojiandaa kufanya Sherehe unatakiwa
uandae ukumbi mapema pia ujue idadi ya wageni wako ili iwe rahisi wakati
wa uandaaji wa meza na Viti kwa ajili ya wageni wako.waalikwa pia Meza
ili muonekano uwe mzuri ndani ya ukumbi wa Sherehe
Kutokana natofauti zilizopo katika kumbi zetu za kufanyia sherehe mhimu sana kuangalia kuwa ukumbi huo unapendeza sana mpangilio upi unafaa kutumika mpambaji atahusika katika kushauri hilo kwani ana ujuzi na kumbi mbalimbali
Ukumbi ambao ni wa nje yaani bustanini unapendeza kweli kweli
Ukumbi unavyoonekana kwa juu ukiwa umepambwa kwa rangi nzuri na za kuvutia
Muonekano wa ukumbi na mpangilio na wa meza ndani ya ukumbi
Muonekano mzuri wa ukumbi huu unatokana na upambaji mzuri wa ukumbi na uchaguaji wa rangi nzuri
Taa na mapambo vinapobadilisha ukumbi na kuufanya ung'are zaidi
Rangi zinaweza kuchanganywa na kufanya ukumbi upendeze zaidi
Muundo wa ukumbi pia unarahisisha upambaji wa ukumbi kwa ajili ya sherehe
Taa za rangi zinapendezesha kwelikweli
Pamependeza kwelikweli
Kumbuka muonekano mzuri utakokana na matayarisho ya ukumbi namapambo mapema pia itakuondolea usumbufu usiokuwa na ulazima
No comments:
Post a Comment