BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA HARUSI
YA BARAKA NGEMBA WA CHANNEL TEN.
Usilie mamaaa niko nawe sitokuumiza nakuahidi
Unayaweza ngoja nikuonyeshe
Wewe ndo chaguo langu
Pokea mke wangu zawadi yangu na moyo wangu
uutunze.
Twawashukuruni wote
(Kunywa wangu) Bw. Baraka akimnywesha Bi. Careen
Kinywaji.
Picha za chini ni wafanyakazi wenzake na bwwana harusi
kutoka Channel ten wakijongea mbele kwa madoido mengi
kumtunza Bw. na Bi. Baraka Ngemba.
Mish B. mama milindimo ya pwani huyu ndo
mama mlezi wa familia(ndoa) hii changa.
Tunaweza kila kitu si kutangaza tu hata kucheza tunajua
wafanya kazi wenzake na Bw harusi wakiwa
wamembeba juu juu Bwana harusi kwa kumpongezakwa hatua
aliyopiga katika maisha yake.
No comments:
Post a Comment