BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA HARUSI YA BW. JOSEPH NA BI. RUTH
Maharusi wakiingia ukumbini

Huyu ndiye.........
Hata kucheza tunajua
Inua juuuu tukate Keki kwa usawiha
Tutakuwa Hivi mpaka siku yetu ya mwisho hapa duniani
Pokea mama asante kwa kila kitu na Mungu akubariki
Kwa kunitunzia Mume bora
Kaka tunakaribia usiwe na hofu
Asante wazazi kwa kunilelea Mke mwema na hii ni zawadi
yangu kwenu na Mwenyezi Mungu awalinde siku zenu zote
hapa duniani
mda wa ndafu
Aaaaaaah kila kitu safi kabisa.
Mwenyezi Mungu na awatangulie katika kila jambo mritendaro
na ailinde ndoa yenu na ikawe takatifu siku zote,Amen.
No comments:
Post a Comment