KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Wednesday, April 2, 2014

KEKI ZA HARUSI

Keki ni moja ya vitu mhimu sana kwa sherehe ya harusi yako ,keki zinapatikana kwa miundo na ukubwa mbalimbali kulingana na mahitaji ya mhusika ili sherehe yako ifane kuna vitu uvizingatie katika uandaaji wa keki kwa ajili ya harusi au sherehe ingine

Mtualiyepewa kazi ya kuandaa keki anatakiwa afike mapema zaidi eneo ambapo sherhe itafanyika ili kumfanya apate mda mwingi wa kuiandaa na kuangalia kama kuna mapungufu kabla ya watu kuanza kuingia katika ukumbi ili iwe rahisi kwake  kuandaa pasipo kusumbuliwa na wanaoingia ukumbini hapo

Aidha keki nazo zina maumbo mbalimbali kulingana na muandaaji anahitaji atengeneze kitu gani kuna baadhi ya keki zinamaumbo yanayowakilisha vitu mbalimbali vya asili katika bara la Afrika ambavyo ni utamaduni wa mwafrika

zifuatazo ni baadhi ya picha mbalimbali za keki ambazo zinatengenezwa kwa ajili ya shughuli yako





Juu ni keki yenye umbo la chungu na ngoma
Keki yenye umbo la ua






Keki yenye kuonyesha watu wa afrika na vitu vilivyo vya asili

Inapendeza kwelikweli

Mhimu kuzingatia kuwa keki yako iendane na rangi harusi yako

3 comments:

  1. woooow...very delicious cakes dear wsh to be married right now..hi hi hi hi

    ReplyDelete
  2. Có 500 triệu nên làm gì? 500 triệu không phải là số tiền nhỏ, nhưng cũng không quá lớn để bạn đầu tư mạo hiểm. Có 500 triệu nên kinh doanh gì ở nông thôn? Có 500 triệu nên đầu tư vào đâu? Để trả lời những câu hỏi, hãy cùng chúng tôi tìm hiểu ngay trong bài viết này nhé.
    Tìm hiểu thêm: https://nhatnamvilla.com/co-500-trieu-nen-lam-gi-kinh-doanh-gi-2022/

    ReplyDelete