KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Sunday, April 6, 2014

MISHUMAA KWA SHEREHE

                              Historia ya mishumaa:

Alama nyingine ya sherehe ni mishumaa. Wagiriki waliokuwa wakipeleka keki zao kwa Artemis waliweka mishumaa juu ya keki kwa sababu iliifanya keki ionekane ang'avu kama mwezi mpevu. Wajerumani ambao walifahamika kuwa ni watengenezaji wazurisana wa mishumaa, walianza kutengeneza mishumaa midogo kwa ajili ya keki zao.Baadhi ya familia za Kijerumani zilitumia mshumaa mmoja mkubwa kuashiria mwangaza wa maisha. Mshumaa huo uliwekwa alama za mistari na nambari

    Watu wengine wanaamini kuwa mishumaa inawekwa juu ya keki kwa sababu zakidini.  
    Wengine wanaamini kuwa moshi unaotoka katika mishumaa hiyo unapeleka maombi yao  mbinguni na wanaamini kuwa kuzima mishumaa yote kwa mpulizo mmoja kunaleta  bahati  njema

 Katika hari ya kawaida wanadamu wamebuni mishumaa ya rangi tofauti,hii yote ni kwasababu ya kupendezesha mazingira na mahari pa tukio.
  kwa leo ntakufahamisha baadhi tu ya nrangi za mishumaa na maana zake ziwekwapo katika hilo eneo.



             Rangi za mishumaa na maana yake...

Like many other things, man has also attributed meanings to the candle colors.Understanding these candle color meanings is an important task as after knowing these different candle color meanings you can convey your feelings to the other person with much ease.

To lend you a helping hand in choosing the perfect colored candle for expression of your feelings, we here provide you with different candle color meanings.

Yellow - Happiness, Enthusiasm, Friendship, Jealousy, Treachery, Pride, Success and Luxury


Orange - Satisfaction of attaining success and strengthened love



Violet - Hope, Generosity, Faithfulness, Modesty, Passion, Humility


Red - Passion, Love, Admiration, Courage, Desire, Constancy, Youth, Respect

Green - Feeling of joy and optimism

White - Pious, Purity, Heavenly, Sincere feeling, Innocence, Silence

Lavender - Feminism, Grace, elegance


Pink - Delicate, Grace, Gentle, Confidence, Admiration



No comments:

Post a Comment