KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Monday, April 14, 2014

PETE ZA NDOA

                              UVAAJI WA PETE ZA NDOA

Pete ya ndoa ni moja ya alama ambao inaweza kumtambulisha mtu kama ameoa /kuolewa au bado pete  za ndoa zinavaliwa katika kidole cha pili baada ya kidole kidogo,  pia pete za ndoa ni za duara zikiwa na maana kuwa upendo usiokuwa na kikomo  .

Watu wengi bado hawajui maana ya petu za ndoa ndio wengi husaliti ndoa zao , unapokuwa na pete kidoleni maana yake ni kuwa umejifunga unatakiwa ubaki na ndoa yako kama tujuavyo unapotaka kufunga ndoa kanisani/msikitini au bomani unatakiwa uape mwenyew kwa hiyari yako ni jambo la busara kutoapa  na kuvaa pete hiyo kuliko kuvaa na kufanya mambo kinyume na ahadi yako.

Ni jambo la busara sana kutafakari kabla ya kuingia katika maisha ya ndoa kwani ni maisha ambayo ni tofauti na maisha uliyokuwa ukiishi mwanzo pia tambua kuwa ukiwa kwenye ndoa utakuwa na majukumu ambayo ni zaidi ya  majukumu uliyokuwa nayo awali.

ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA NA AINA MBALIMBALI ZA PETE ZA NDOA
Pete ikiwa kidoleni inapendeza kwelikweli


  Picha ya moja ya aina za pete za ndoa


 Pete yenye mchoro wa kuonyesha upendo










Vidole vimependeza kweli kweli baada ya kuvaa pete
























1 comment:

  1. Biệt thự liền kề là gì? Các dự án nổi bật tại Hà Nội năm 2023

    Thị trường Bất động sản Hà Nội chưa bao giờ hết hot với các phân khúc Bất động sản hạng sang. Một trong những sản phẩm nổi bật trong phân khúc đó chính là các khu biệt thự liền kề. Biệt thự liền kề nổi lên ngày càng nhiều trên thị trường, khổng ở Hà Nội mà còn ở các tỉnh thành phát triển khác trên cả nước. Vậy bạn đã biết được biệt thự liền kề là gì hay chưa? Và đâu sẽ là các dự án nổi bật ngay tại khu vực Hà Nội trong năm 2023 này.
    Xem Ngay tại:
    biệt thự liền kề

    ReplyDelete