KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Tuesday, April 1, 2014


Mavazi ya asili ni mavazi ambayo yanaweza kuipendezesha harusi yako na kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia kwani itaufanya muonekano wako kuwa maridadi kabisa tena inaweza kukupunguzia gharama ambazo msingi.


 


Kama ilivyo kawaida rangi zinatakiwa kuwa katika mpangilio maalumu wa kuvutia na kung'ara  ikiwezekanoongea na wanamitindo au watu wenye ujuzi na rangi pamoja na mitindo mbalimbal

 

Maridadi kabisa


Masai kamwe hawezi sahau asili yake



Tambua kuwa harusi yako itafana na ya kuwa tofauti kwa kuzingatia utamaduni ,mila na destuli ili watu waweze pia kutambua aina mbali tamaduni mbalimbali za kiafrika zaidi.
Keki nayo itengenezwe katika muonekano wa kiafrika zaidi umbo linavutia na kuifanya iwe ya kipekee kwa ajili ya siku yako hiyo muhimu kwa maisha  yako 
Muonekano wa ukumbi pia unavutia kwa kuonyesha vitu vya asili ya mwafrika viti na mapambo mengine kwa ujumla


        Nimejaribu kuangalia mavazi ya asili ambayo yamechanganywa na vitenge ama kanga.
        jaribu kuifanya sherehe yako iwe ya tofauti
         Kwa msaada wa Tradition wedding

No comments:

Post a Comment