KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Friday, April 11, 2014

MPANGILIO WA UKUMBI

Mpangilio wa meza ukumbini


     Unapojiandaa kufanya Sherehe unatakiwa uandae ukumbi mapema pia ujue idadi  ya wageni wako ili iwe rahisi wakati wa uandaaji wa meza na Viti kwa ajili ya wageni wako.waalikwa pia Meza ili muonekano uwe mzuri ndani ya ukumbi wa Sherehe 

Kutokana natofauti zilizopo katika kumbi zetu za kufanyia sherehe mhimu sana kuangalia kuwa ukumbi huo unapendeza sana mpangilio upi unafaa kutumika mpambaji atahusika katika kushauri  hilo kwani ana ujuzi na kumbi mbalimbali

 Ukumbi ambao umepambwa kwa kutumia mishumaa

 Ukumbi ambao ni wa nje yaani bustanini unapendeza kweli kweli

Ukumbi unavyoonekana kwa juu ukiwa umepambwa kwa rangi nzuri na za kuvutia

Muonekano wa ukumbi na mpangilio na wa meza ndani ya ukumbi

Meza ambayo tayari ishatayarishwa ikiwa na vitu vyake mhimu  kama vile vijiko,umma, visu glasi na vinginevyo

Muonekano mzuri wa ukumbi huu unatokana na upambaji mzuri wa ukumbi na uchaguaji wa rangi nzuri

Tazama maua bustanini ambavyo yanaweza kubadili ukumbi wako

Taa na mapambo vinapobadilisha ukumbi na kuufanya  ung'are zaidi


Rangi zinaweza kuchanganywa na kufanya ukumbi upendeze zaidi

Muundo wa ukumbi pia unarahisisha upambaji wa ukumbi kwa ajili ya sherehe

Taa za rangi zinapendezesha kwelikweli

Pamependeza kwelikweli






























Kumbuka muonekano mzuri utakokana na matayarisho ya ukumbi namapambo mapema pia itakuondolea usumbufu usiokuwa na ulazima

No comments:

Post a Comment