KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Wednesday, June 18, 2014

HARUSI YA BARAKA NGEMBA NA CAREEN STEVEN

BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA HARUSI
 YA BARAKA NGEMBA WA CHANNEL TEN.



Baby vp unaogopa?


pozi tofautintofauti za maharusi

Umeona nimeweza nilikuwa siogopi.















Usilie mamaaa niko nawe sitokuumiza nakuahidi


Unayaweza ngoja nikuonyeshe

Wewe ndo chaguo langu

Pokea mke wangu zawadi yangu na moyo wangu
uutunze.
 





Twawashukuruni wote

(Kunywa wangu) Bw. Baraka akimnywesha Bi. Careen
Kinywaji.


Picha za chini ni wafanyakazi wenzake na bwwana harusi
kutoka Channel ten wakijongea mbele kwa madoido mengi 
kumtunza Bw. na Bi. Baraka Ngemba.





Mish B. mama milindimo ya pwani huyu ndo 
mama mlezi wa familia(ndoa) hii changa. 


Tunaweza kila kitu si kutangaza tu hata kucheza tunajua
wafanya kazi wenzake na Bw harusi wakiwa 
wamembeba juu juu Bwana harusi kwa kumpongezakwa hatua
aliyopiga katika maisha yake.





Twawatakia maisha mema na fanaka tele kutika
kwa Mwenyezi Mungu na ndoa yenu ailinde Amen.

No comments:

Post a Comment