KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Monday, April 7, 2014

IFANYE SHEREHE YAKO IWE PEKEE




Sherehe yako itafana kwa kuwa na mpangilio mzuri wa rangi zitakazotumika kuanzia mapambo na mavazi ambayo yatatumiwa na maharusi na wapambe wao kwani zitafanya muonekano wa siku hiyo kuwa wa kipekee                                                                                                                                       




bi harusi akiwa saluni akipambwa kwa ajili ya siku yake mhimu katika maisha yake


               Mpambe wake nae alipendeza kweli kweli



Wacha kabisa gari maalumu kwa ajili ya kuwabeba maharusi likiwa limepambwa kwelikweli

Kanisa la kiinjili kilutheri Azania front ndipo ndoa yao takatifu ilipofungwa na kuwafanya kuwa maharusi kuwa mwili mmoja


Wapiga tarumbeta nao hawakuwa nyuma katika kuifanya siku hiyo ya pekee kwa maharusi


Bi harusi akiwa tayari kuingia kanisani kufunga ndoa




Waoooooo! wamependeza kwelikweli tayari kwa viapo vya ndoa yao




Ibada ya ndoa yao takatifu ikiendelea kupamba katika kanisa la Azania Front


Ni yeye au si yeye? ni swali kwa bwana harusi kuthibitisha bi harusi ni mwenyewe au laa




Viapo vyao pamoja na kuvishana Pete








Maharusi wakisaini kuanza rasmi taasisi mpya ya ndoa







Watoto walio wasindikiza maharusi nao walipendeza kweli kweli


Waaaaooo beutiful African ladies they look so mwaaah!


Picha ya pamoja na wapambe waooo











No comments:

Post a Comment