Alama nyingine ya sherehe ni mishumaa. Wagiriki waliokuwa wakipeleka keki zao kwa Artemis waliweka mishumaa juu ya keki kwa sababu iliifanya keki ionekane ang'avu kama mwezi mpevu. Wajerumani ambao walifahamika kuwa ni watengenezaji wazurisana wa mishumaa, walianza kutengeneza mishumaa midogo kwa ajili ya keki zao.Baadhi ya familia za Kijerumani zilitumia mshumaa mmoja mkubwa kuashiria mwangaza wa maisha. Mshumaa huo uliwekwa alama za mistari na nambari
Watu wengine wanaamini kuwa mishumaa inawekwa juu ya keki kwa sababu zakidini.
Wengine wanaamini kuwa moshi unaotoka katika mishumaa hiyo unapeleka maombi yao mbinguni na wanaamini kuwa kuzima mishumaa yote kwa mpulizo mmoja kunaleta bahati njema
Katika hari ya kawaida wanadamu wamebuni mishumaa ya rangi tofauti,hii yote ni kwasababu ya kupendezesha mazingira na mahari pa tukio.
kwa leo ntakufahamisha baadhi tu ya nrangi za mishumaa na maana zake ziwekwapo katika hilo eneo.
Rangi za mishumaa na maana yake...
Like many other things, man has also attributed meanings to the candle colors.Understanding these candle color meanings is an important task as after knowing these different candle color meanings you can convey your feelings to the other person with much ease.
To lend you a helping hand in choosing the perfect colored candle for expression of your feelings, we here provide you with different candle color meanings.
Yellow - Happiness, Enthusiasm, Friendship, Jealousy, Treachery, Pride, Success and Luxury
Orange - Satisfaction of attaining success and strengthened love
Violet - Hope, Generosity, Faithfulness, Modesty, Passion, Humility
Red - Passion, Love, Admiration, Courage, Desire, Constancy, Youth, Respect
Green - Feeling of joy and optimism
White - Pious, Purity, Heavenly, Sincere feeling, Innocence, Silence
Lavender - Feminism, Grace, elegance
Pink - Delicate, Grace, Gentle, Confidence, Admiration
No comments:
Post a Comment