KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Monday, March 31, 2014

                                            MAVAZI YA HARUSI

Leo tutaangalia kuhusu mavazi ya harusi ,unapojiandaa kufunga ndoa kuna vitu muhimu ambavyo unatakiwa uzingatie kwa ajili ya siku hiyo maalumu kwako baadhi ya vitu hivyo ni
  •   Rangi ya harusi yako : hii ni muhimu sana kwa sherehe yako unatakiwa uongee na wanaojua kuchagua rangi na wapambaji kwa sababu  utahitaji uonekane tofauti na siku zote pili ngozi yako iendane na rangi hizo 
  • Usichague gauni au suti ambayo haiendani na umbo lako,ngozi yako kwani itakufanya usipendeze chagua nguo ambazo utaonekana tofauti usione mtu kavaa na wewe uchague vile kwani unatakiwa uongee na wanamitindo mbalimbali waweze kukushauri.





No comments:

Post a Comment