Bi.Zakia akiwa kwenye pozi tofauti tofauti mara baada ya kumaliza kupambwa
Hapa Bi.Zakia akiwa na mpambe wake
Mr.jimmy na Bi zakia wakiingia kanisani kwa lengo la kufunga ndoa takatifu
Ntakupenda mpaka mwisho wa maisha yangu.Nahisi ni maneno waliyoambiana maharusi hawa.
Hali nzuri sana kwa maharusi baada ya kufunga ndoa wako bustanini kwa ajili ya picha za ukumbusho
Chezea keki wewe mc Godwin Gondwe akitoa maelekezo kuhusiana na keki
Aaaaaahh watu weeeeeeeeeeeeewe acha nifurahi leo ndo leo hakuna kulala kabisa
Nikupe yote
Hapa je?Bi.Zakia akiwa kwenye pozi matata
Chezea shampeni wewe! wacha kabisa
Nani kama Mama? Mrs Jimmy akimkabidhi mama mkwe keki
Je wajua sherehe bila shampeni hainogi? wadada na wakaka wakishindana kufungua shempeni
No comments:
Post a Comment