KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Friday, October 17, 2014

SHEREHE YA HARUSI YA MICHAEL NA PENDO ILIYOFANYIKA LAMADA HOTEL

PICHA ZA MICHAEL NA PENDO

  Pendo akipambwa saluni tayari kwa kufunga ndoa takatifu



Mpambe nae hakuza nyuma





Maridadi kweli


Watoto wakiingia kanisani wakiwa wamebeba biblia takatifu



    Maids wakiingia kanisani

    Wapambe wakiingia kanisani


    Bibi harusi akiingia kanisani

Bwanaharusi akiingia kanisani


    Maharusi wakiingia kanisani tayari kwa kuunganishwa ili wawe mwili mmoja

Michael akimfunua shela Pendo kuhakikisha kama ni yeye kweli
 
    Mchungaji akiongoza ibada takatifu ya ndoa hiyo



Michael akisaini cheti cha ndoa yao

       Pendo akisaini katika cheti cha ndoa

                             Maharusi wakitoka kanisani



Maids wakiingia ukumbini kwa shangwe






    Maharusi wakiingia ukumbini






    Shampeni zikifunguliwa ukumbini





                             Maharusi wakinyweshana shampeni

























No comments:

Post a Comment