KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Monday, May 12, 2014

KITCHEN PARTY YA HABIBA


HAYA NI BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA 
WAKATI WA KITCHEN PARTY YA HABIBA

Hizi ni baadhi tu ya picha za Bi. Habiba
akiwa salon Gram box Masaki.







Angaria gauni la huyu mdada Habiba lilivyokuwa zuri.


Pozi tofauti tofauti za Bi. Habiba akiwa
 salon Gram box Masaki.




 









 



 Akiwa na rafiki yake wifi yake kwenye pozi.




 Nambie Mc Dida wa mchopanga akiwa kazini.

Bi. Habiba akiwasili ukumbini.



Bi. Habiba akikata keki aliyoandaliwa
katika usiku wake.
Picha chini Bi Habiba akilishwa keki na mama yake
 Bi. Habiba baada ya kuwasili ukumbini sasa ni wakati wa kufungua
 Champagne





 

 


Mama na mwana wakinya Mvinyo.
Baadhi ya zawadi alizokabidhiwa Bi.Habiba katika
Kitchen Party.






Mama wa Bi. Habiba akitoa neno la nasaha
 kwa bintie.

Bibi akitoa neno la nasaha.



Bi. Habiba akitoa neno la shukrani.


Hawa ni wafanyakazi wake Bi. Habiba

Hawa ni mawifi zake Bi. Habiba.


Mama akimkabidhi mwanae zawadi mbalimbali.



Bi. habiba akimzawadia mama yake zawadi.





Bibi naye alimpa Bi. Hidaya zawadi ya vyombo

 Mmmmmmhh balaaaa we acha tu usiseme amevuna
kwelikweli.














Mawifi wakileta sanduku.




Akifungua mziki na mawifi zake.

No comments:

Post a Comment