Je wajua kuwa kuwa harusi yako yaweza kuonekana yapekee kwa kutengeneza ukumbi wa bustanini kwa matent kwani ni rahisi katika upambaji wake na pia watu watapata hewa fresh kutoka nje kwenye miti na maua.
Muonekano wa harusi utapambwa na bustani za maua zilizoko nje au katika eneo utakalochagua pia kama kutakuwa na bwawa la kuogelea muonekano utakuwa murua zaidi.
Aidha wapambaji watatakiwa wachague rangi nzuri kwa ajili ya sherehe hiyo inayoweza kuendana na mandhari iliyoko eneo hilo la bustani pamoja na rangi za mavazi yatakayovaliwa siku hiyo maalum kwa maisha ya mwanadamu
Muonekano wa ukumbi wako ni mzuri kutokana na mpangilio mzuri
Pamependeza kwelikweli
Waaaaooo ni muonekano maridadi kweli
No comments:
Post a Comment